ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 23, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGWE KUPATA MAGARI MATATU YA WAGONJWA

SUZO SHUKRANI by SUZO SHUKRANI
Sep 12, 2023
in AFYA, HABARI
0
HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGWE KUPATA MAGARI MATATU YA WAGONJWA
0
SHARES
17
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

Sep 22, 2023

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

Sep 21, 2023

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

Sep 21, 2023
Load More

Waziri Ummy amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeagiza kila Halmashauri kupata magari angalau mawili ya kubebea wagonjwa na kutokana na uhitaji mkubwa, Serikali imeamua kuongeza gari moja ambapo jumla Halmashuri hiyo itapata magari matatu.

“Magari haya yatasaidia kupunguza vifo vya mama na mtoto, lakini pia kurahisisha mgonjwa kupata huduma kwa haraka pale anapopatiwa rufaa au anapohitaji huduma za dharura”. Amesema Waziri Ummy.

Halmashauri ya Wilaya ya Songwe watapatiwa magari Matatu ya kubebea wagonjwa (Ambulance) ili kusaidia kutoa huduma za dharura na rufaa za matibabu na kupunguza madhara makubwa yanayoweza sababisha vifo kwa wagonjwa wanaohitaji huduma kwa haraka.

Hayo yamesemwa jumatatu Septemba 11, 2023 na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu wakati akiongea na Madaktari, Wauguzi pamoja na timu ya usimamizi wa Afya ngazi ya Halmashauri wakati alipofanya ziara katika Mkoa wa Songwe.

 

Aidha, Waziri Ummy amewasisitiza wananchi wa Halmashauri hiyo kujitokeza katika zoezi la utolewaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio linalotarajiwa kuanzia tarehe 21-24 Septemba 2023 ili watoto wao waweze kupata chanjo ya ugonjwa huo.

“Baada ya kupatikana kwa mgonjwa mmoja mwenye ugonjwa wa Polio Mkoani Rukwa Serikali kupitia Wizara ya Afya tumeamua kutoa chanjo hiyo kwa Mikoa Sita ikiwemo Mkoa wa Rukwa, Kagera, Kigoma, Mbeya, Katavi, Songwe hivyo ninawaomba sana wazazi kushiriki kwa kuwatoa watoto”. Amesema Waziri Ummy.

Katika ziara hiyo Waziri Ummy ameridhishwa na upatikanaji wa dawa, utolewaji wa huduma pamoja na ujenzi unaoendelea ikiwemo jengo la EMD, Mama na Mtoto, Utawala, Mochwari na jengo la huduma za Mionzi.

 

#KonceptTVUpdates

 

Related

SUZO SHUKRANI

SUZO SHUKRANI

Related Posts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA
HABARI

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA
HABARI

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA
AFYA

MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST
HABARI

SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO
HABARI

TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

September 2023
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Aug    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In