Huu ni umwanja wa 19 Mei 1956 (Uwanja wa Annaba). Katika uwanja huu, tukio kubwa litatokea mnamo tarehe 7 Septemba 2023 saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Ni mechi muhimu ya kufuzu kwa Afcon 2023 kati ya Timu ya Taifa ya Algeria na Timu ya Taifa ya Tanzania, maarufu kama Taifa Stars.
Tumekusanya taarifa zote muhimu kuhusu tukio hili kubwa na tutakuwa tayari kukujuza kila kitakachojiri hapa Annaba hadi siku ya mechi. Ni nafasi ya kutazama vipaji vya wachezaji wetu wakipambana kwa dhati kwa ajili ya nchi zao.
Mtanange huu wa kusisimua LIVE kwenye ZBC2. Ni fursa adimu ya kuonyesha uzalendo wetu na kuiunga mkono Timu ya Taifa ya Tanzania. Tutakuwa tukisimama pamoja na kuipa nguvu timu yetu kuelekea kufuzu kwa mashindano makubwa ya Afcon 2023.
#KonceptTvUpdates