Kufuatia mchezo wa jana wa ligi kuu uliopigwa kwenye dimba la Emirates jana na kuzikutanisha klabu kubwa nchini Uingereza Arsenal dhidi ya Manchester United ambao ulimalizika kwa Arsenal kutoa kichapo kwa mashetani hao goli 3 kwa 1.
Baada ya ushindi huo Arsenal amekua kwenye nafasi ya tano na pointi zake kumi huku Manchester United akishika nafasi ya 11 akiwa na alama 6 kwa kushinda mechi mbili na kupoteza mechi mbili dhidi ya michezo minne aliyocheza.
Mchezo utakaofuata Manchester United atakutana na Brighton kwenye dimba la Old Trafford septemba 16 mwaka huu.
#KonceptTVUpdates