ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MARIAM MWINYI KUJA NA KAMPENI YA “AFYA BORA, MAISHA BORA” SEPTEMBA 30 MKOA WA MJINI MAGHARIBI

SUZO SHUKRANI by SUZO SHUKRANI
Sep 12, 2023
in AFYA, HABARI
0
MARIAM MWINYI KUJA NA KAMPENI YA “AFYA BORA, MAISHA BORA” SEPTEMBA 30 MKOA WA MJINI MAGHARIBI
0
SHARES
18
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mariam Mwinyi amesema ZMBF imeandaa kampeni ya “Afya Bora,Maisha Bora” inayolenga kuweka kambi maalumu ya kupima afya na matatibu bure kwa siku tatu kuunga mkono juhudi zinazofanywa kwa vitendo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kusogeza huduma za afya karibu na wananchi.

RelatedPosts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

Oct 2, 2023

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

Oct 2, 2023

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

Oct 2, 2023
Load More

 

Mama Mariam Mwinyi ameyasema hayo jumatatu 11 Septemba 2023 alipozungumza na uongozi wa Hospitali ya Kitengule kutoka Dar es Salaam waliofika ofisi za ZMBF Ikulu Migombani.

Kampeni hiyo itazinduliwa kupitia Mariam Mwinyi Walkathon itakayofanyika viwanja vya Dole, Wilaya ya Magharibi A Mkoa wa Mjini Magharibi kuanzia tarehe 30 Septemba 2023 hadi tarehe 02 Oktoba, 2023.

Aidha, Mama Mariam Mwinyi amewashukuru na kuwapongeza uongozi wa Hospitali hiyo kwa kufanikisha kambi maalumu ya matibabu na upasuaji iliyofanyika Hospitali ya Kitogani Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.

Vilevile, Hospitali ya Kitengule imemkabidhi Mama Mariam Mwinyi msaada wa madawa mbalimbali ikiwemo ya magonjwa ya presha, sukari na vifaa tiba kwa ajili ya upasuaji.

 

#KonceptTVUpdates

Related

SUZO SHUKRANI

SUZO SHUKRANI

Related Posts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10
HABARI

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
HABARI

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM
HABARI

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA
HABARI

SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA
HABARI

TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

September 2023
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In