ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Thursday, October 5, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Maternal Care Foundation (McF) Kujikita kwenye kuboresha afya ya Uzazi,Mama na Watoto wachanga

I am Krantz by I am Krantz
Sep 8, 2023
in HABARI
0
Maternal Care Foundation (McF) Kujikita kwenye kuboresha afya ya Uzazi,Mama na Watoto wachanga
0
SHARES
56
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na Mwandishi wetu

RelatedPosts

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI

Oct 4, 2023

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA

Oct 4, 2023

WANAFUNZI 8,000 WA STASHAHADA KUPATA MKOPO WA ELIMU

Oct 4, 2023
Load More

Shirika lisilo la kiserikali Maternal Care Foundation ( McF) limeendelea kufanya jitihada za kuzuia Vifo na Ulemavu vinavyohusiana na ujauzito miongoni mwa wanawake na watoto chini ya umri wa miaka mitano.

Lengo ikiwa ni kuboresha mazingira ya afya katika afya ya uzazi, na mtoto mchanga.

Akizungumza wakati wa maonyesho ya afya ya wanawake yaliyofanyika tarehe 2 Septemba 2023 katika viwanja vya maonesho Mliman city Afisa Mkuu wa Habari wa McF, Bw.Tesha Mbiligili amesema wameendelea kusisitiza umuhimu wa uhamasishaji wa jamii, elimu, na upatikanaji wa huduma za afya kwa ajili ya kufikia matokeo bora ya afya lakini pia kuona haja ya kuwepo mbinu shirikishi kwa afya ya mama na mtoto.

“Katika hafla hii ilitolewa elimu ya afya bila malipo, huduma za upimaji na uchangiaji damu ili kushughulikia masuala muhimu yanayoathiri afya ya mwanamke na watoto chini Tanzania.”

“Hafla hii imeonyesha nguvu ya ushirikiano na ari ya mashirika haya katika kuboresha maisha ya wanawake na watoto nchini Tanzania.” Amesema Bw.Tesha

Amesema kwa kuzingatia kukuza afya ya uzazi, afya ya akili, ukuaji wa watoto, afya ya uzazi na lishe, hafla hiyo imeleta pamoja mashirika mbalimbali ambapo kila mmoja alichangia utaalimu wake ili kuinufaisha jamii.

“Washirika wakuu katika maonyesho hayo ni pamoja na, Shujaa Cancer Foundation, Nursing and Midwifery Empowerment Organization, Mental Health Tanzania, Tanzania Epilepsy Organization, Watoto Afrika, Bright Jamii Initiative, Kaya Foundation, Gorgeous Look Atelier, Hospitali ya CCBRT na Hospitali ya Sanitas.”

“Maonyesho ya Afya ya Wanawake yalikuwa tukio la uzinduzi ambalo linaonyesha dhamira kuu ya McF ya kuboresha matokeo ya afya kwa wanawake na watoto. Hili lilikuwa jukwaa la kuwawezesha wanawake na watoto kwa taarifa sahihi za afya na rasilimali muhimu, na kuwawezesha kufanya maamuzi sahihi ya afya. Mpango huu unaondoa vikwazo vinavyozuia upatikanaji wa taarifa muhimu za afya ndani ya jamii.” Amesema Bw.Tesha

Kadhalika Bw.Tesha amesema McF inaendelea kufanya mawasiliano na jamii, kushirikiana na washikadau katika sekta ya afya, na kutoa elimu bila malipo kwa jamii ili kuboresha matokeo ya afya ya uzazi.

 

 

 

 

 

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI
HABARI

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA
HABARI

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
WANAFUNZI 8,000 WA STASHAHADA KUPATA MKOPO WA ELIMU
HABARI

WANAFUNZI 8,000 WA STASHAHADA KUPATA MKOPO WA ELIMU

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
‘KUWE NA MIKAKATI MADHUBUTI KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO’
HABARI

‘KUWE NA MIKAKATI MADHUBUTI KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO’

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
TET YAWASILISHA RASIMU ZA MITAALA MIPYA KWA MAAFISA ELIMU NCHINI
HABARI

TET YAWASILISHA RASIMU ZA MITAALA MIPYA KWA MAAFISA ELIMU NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
BEI Y MAFUTA YAPANDA TENA NCHINI
BIASHARA

BEI Y MAFUTA YAPANDA TENA NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

September 2023
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In