ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, December 4, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA

SUZO SHUKRANI by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
in AFYA, HABARI
0
MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA
0
SHARES
28
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanikiwa kufanya upasuaji wa kwanza wa kifua kwa mgonjwa ili kuondoa uvimbe kwenye pafu kutumia tundu dogo moja uliowashirikisha watalaamu wazalendo ukiongozwa na Bingwa wa Upasuaji Kifua Duniani na mgunduzi wa upasuaji wa aina hiyo, Dkt. Diego Gonzalez Rivas kutoka nchini Hispania.

Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji (MNH) Dkt. Rachel Mhaville amesema, upasuaji huu ni mwendelezo wa azma ya Serikali chini ya Wizara ya Afya kuhakikisha huduma za kibingwa na ubingwa bobezi zinatolewa nchini na kuleta unafuu kwa wananchi na Serikali kwa ujumla ambao pia unaifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza kutumia tundu moja dogo kupitia Hospitali ya umma katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ukilinganisha na matundu matatu yaliyozoeleka sehemu nyingine duniani.

 

Mkuu wa Idara ya Upasuaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga Dkt. Ibrahim Mkoma amesema mgonjwa akifanyiwa upasuaji huo ambao siyo wa kufungua kifua anaweza asihitaji kukaa ICU kama wagonjwa wengine wa upasuaji wa kawaida na akaruhusiwa siku ya pili au ya tatu yake na kuendelea shughuli zake za kawaida.

Dkt. Mkoma amesema wagonjwa wapatao wanne wanategemewa kufanyiwa upasuaji wa aina hiyo na mara baada ya hapo watalaamu wazalendo wataendelea kutoa huduma hiyo kwa wananchi wenye changamoto mbalimbali.

 

#KonceptTVUpdates

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
SUZO SHUKRANI

SUZO SHUKRANI

Related Posts

EACOP Yakamilisha Utaratibu Wa Fidia Kwa Kukabidhi Nyumba Ya 339 Mkoani Tanga
HABARI

EACOP Yakamilisha Utaratibu Wa Fidia Kwa Kukabidhi Nyumba Ya 339 Mkoani Tanga

by I am Krantz
Nov 29, 2023
MAWAKALA WA USAJILI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA UTENDAJI BORA WA KAZI.
HABARI

MAWAKALA WA USAJILI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA UTENDAJI BORA WA KAZI.

by I am Krantz
Nov 29, 2023
NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia
HABARI

NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia

by I am Krantz
Nov 27, 2023
Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Yazidi Kusambaza Furaha Kwa Watanzania
HABARI

Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Yazidi Kusambaza Furaha Kwa Watanzania

by I am Krantz
Nov 27, 2023
NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023 🇹🇿
HABARI

NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023 🇹🇿

by I am Krantz
Nov 27, 2023
Vodacom Yakabidhi Bima Kubwa Ya Bure Kwa Akina Mama Na Watoto Wachanga 200 Kupitia VodaBima
HABARI

Vodacom Yakabidhi Bima Kubwa Ya Bure Kwa Akina Mama Na Watoto Wachanga 200 Kupitia VodaBima

by I am Krantz
Nov 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TWEETS

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
September 2023
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In