ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 23, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

NDEJEMBI ACHANGIA UJENZI WA HOSTELI YA WANAFUNZI SEKONDARI YA ZAJILWA

SUZO SHUKRANI by SUZO SHUKRANI
Sep 14, 2023
in HABARI
0
NDEJEMBI ACHANGIA UJENZI WA HOSTELI YA WANAFUNZI SEKONDARI YA ZAJILWA
0
SHARES
14
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Naibu Waziri Tamisemi, Deo Ndejembi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha TSh Milioni 125 kwa ajili ya ujenzi wa Hosteli za Shule ya Sekondari Zajilwa katika Kata ya Zajilwa huku yeye pia akiahidi kuchangia mifuko 200 ya Saruji za ujenzi wa Sekondari katika kijiji cha Chenene Kata ya Haneti.

RelatedPosts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

Sep 22, 2023

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

Sep 21, 2023

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

Sep 21, 2023
Load More

Ndejembi ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kuzungumza na wananchi wa Chamwino katika Kata mbili za Haneti na Zajilwa.

Akizungumza na wananchi wa Zajilwa, Ndejembi amesema Kata hiyo  mwanzo haikua na Sekondari lakini ndani ya kipindi kifupi cha Rais Samia kata hiyo imepata shule ya sekondari ambayo imegharimu kiasi cha TSh Milioni 470.

” Namshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya muda mfupi alitupatia TSh Milioni 470 ambazo zilituwezesha kufanikisha ujenzi wa Shule ya Sekondari hapa Zajilwa na sasa watoto wetu hawatembei tena umbali mrefu. Kama hiyo haitoshi hivi sasa ametupatia tena TSh Milioni 125 za ujenzi wa Hosteli.

Lakini pia Rais Samia ametupatia TSh Milioni 95 za ujenzi wa nyumba ya walimu katika Sekondari yetu hii. Haya ni mafanikio makubwa ambayo kata yetu imeyapata katika kipindi kifupi cha uongozi wake na tuna kila sababu ya kumshukuru na kumuunga mkono,” Amesema Ndejembi.

Akiwa katika kata ya Haneti, Ndejembi amewataka wananchi wa kijiji cha Chenene kuandaa eneo ambalo litajengwa Shule ya Sekondari ambapo amewaahidi kuwa atapeleka mifuko 200 ya Saruji kama sehemu ya mchango wake kwa ajili ya kuanza ujenzi huo.

” Nafahamu watoto wetu hapa kijiji cha Chenene wanatembea umbali mrefu kwenda shule. Nimuagize Diwani kwa kushirikiana na uongozi wa kijiji kuandaa eneo itakapojengwa sekondari hiyo na mimi kama Mbunge naahidi kutoa mifuko 200 ya kuanzia ujenzi huo na tutashirikiana pamoja hadi tukamilishe,” Amesema Ndejembi.

Aidha amemtaka Meneja wa Tarura Wilaya ya Chamwino kufanya upembuzi yakinifu wa barabara ya Chenene-Itiso ili kuifungua barabara hiyo ya kiuchumi.

 

#KonceptTVUpdates

Related

SUZO SHUKRANI

SUZO SHUKRANI

Related Posts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA
HABARI

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA
HABARI

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA
AFYA

MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST
HABARI

SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO
HABARI

TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

September 2023
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Aug    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In