Mnamo 1/9/1939 huko balani Ulaya, jeshi kubwa la kijerumani lililoongozwa na Adolf Hitler lilifanya shambulizi la hatari kwa Poland.
Mshikamano hatari wa mikakati ya blitzkrieg ya Kijerumani, kutotenda kwa Ufaransa na Uingereza, pamoja na hila ya Sovieti, viliiangamiza Poland kwa kushindwa haraka baada ya Adolf Hitler kuvamia nchi hiyo siku kama ya leo mwaka 1939 na kuanzisha Vita Kuu ya Pili ya Dunia.
#KonceptTvUpdates