Timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars iliondoka siku ya jumatatu kuelekea Ivory Coast kwa mchezo wa kufuzu WAFCON dhidi ya Ivory Coast ambao unatarajiwa kuchezwa ijumaa Septemba 22, 2023 nchini humo.
Siku ya jana septemba 19,2023 timu hiyo iliweza kuwasili salama kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa ivory coast tayari kabisa kwa ajili ya maandalizi ya kuwakabili timu ya taifa ya wanawake ivory coast.
Mchezo huo utakua ni wa kwanza kwenye round ya kwanza ya kufuzu mashindano hayo ya WAFCON.
#KonceptTVUpdates
ADVERTISEMENT