ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 23, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WAZIRI MBARAWA AMKABIDHI OFISI WAZIRI BASHUNGWA

SUZO SHUKRANI by SUZO SHUKRANI
Sep 8, 2023
in HABARI
0
WAZIRI MBARAWA AMKABIDHI OFISI WAZIRI BASHUNGWA
0
SHARES
14
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

 

RelatedPosts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

Sep 22, 2023

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

Sep 21, 2023

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

Sep 21, 2023
Load More

Waziri wa Uchukuzi Prof. makame mbarawa amezungumzia umuhimu wa Wizara ya Ujenzi kuendeleza miradi ya kimkakakati ya ujenzi wa barabara kwa utaratibu wa uhandisi, manunuzi ujenzi na fedha (EPC+F) na ujenzi wa miradi kwa njia ya ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP) ili kufikia matarajio ya Serikali.

Akizungumza wakati akimkabidhi Ofisi Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa septemba 8,2023 jijini Dodoma, Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kazi kubwa ya kuweka misingi ya kuendeleza miradi hiyo imekamilika hivyo kazi iliyobaki ni kuendelea na kasi ya uendelezaji wa miradi hiyo.

“Mheshimiwa Waziri unayo timu nzuri ya kukusaidia kufanya kazi, hivyo itumie na kuwaongezea uzoefu wa kimataifa katika kusimamia miradi ili kuiwezesha Tanzania kuendana na kasi ya mabadiliko ya miundombinu ya kidunia”, amesisitiza Profesa Mbarawa.

Amezungumzia umuhimu wa Wizara kujenga uwezo wa kutayarisha wahandisi washauri wa miradi inayotekelezwa nchini badala ya kutumia wataalamu kutoka nje ya nchi kama ilivyo sasa.

Aidha, Profesa Mbarawa amewashukuru wataalamu na watumishi wa Wizara ya Ujenzi kwa ushirikiano waliompa na kumsisitiza Waziri Bashungwa kuendeleza ushirikiano huo ili kufanikisha malengo ya Sekta.

Kwa upande wake Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemshukuru Prof. Mbarawa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa kutekeleza miradi mikubwa ya barabara, madaraja, nyumba na ujenzi wa viwanja vya ndege na kuahidi kuendeleza utamaduni huo ili kuleta tija kwa wananchi.

“Tutahakikisha msingi uliojenga tunauendeleza hususani kuongeza barabara za kisasa, nyumba za viongozi na watumishi wa umma na kuhakikisha vivuko na utengenezaji wa magari unakuwa wa uhakika”, amesema Waziri Bashungwa.

Mheshimiwa Bashungwa leo amekabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mheshimiwa Profesa Mbarawa mara baada ya kuapishwa.

 

#KonceptTVUpdates

Related

SUZO SHUKRANI

SUZO SHUKRANI

Related Posts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA
HABARI

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA
HABARI

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA
AFYA

MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST
HABARI

SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO
HABARI

TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

September 2023
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Aug    
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In