ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WAZIRI UMMY ASISITIZA USHIRIKIANO NDANI YA WIZARA

SUZO SHUKRANI by SUZO SHUKRANI
Sep 6, 2023
in HABARI
0
WAZIRI UMMY ASISITIZA USHIRIKIANO NDANI YA WIZARA
0
SHARES
15
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

Oct 2, 2023

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

Oct 2, 2023

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

Oct 2, 2023
Load More

Waziri wa Afya Ummy Mwalim amewataka watendaji ndani ya Sekta ya Afya kufanya kazi kwa ushirikiano na kuleta tija katika kuboresha ubora wa huduma za afya nchini.

 

Waziri Ummy ameyasema hayo jana Septemba 5, 2023 alipokuwa akizungumza na Menejimenti ya Watumishi wa Wizara ya Afya kuhusu mipango ya utekelezaji wa afua za kufikia vipaumbele 14 ambavyo vimewekwa na Wizara ya Afya kwenye Bajeti ya mwaka 2023/24.

 

“Dhamira yangu ni kuboresha ubora wa huduma za afya nchini, tufanye kazi kwa ushirikiano na kuweka mbele masilahi ya Sekta ya Afya na Tanzania,” amesema Waziri Ummy.

 

Aidha Waziri Ummy amesisitiza watendaji ndani ya Sekta ya Afya kuijua vyema Sekta na kufanya mambo yenye tija katika kuboresha huduma za afya kwa wananchi.

 

Amesema kuwa, Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa katika kuboresha Sekta ya Afya nchini kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma za Afya, ununuzi wa dawa, vifaa na vifaatiba, ajira za watumishi pamoja na kusomesha wataalam, hivyo ni wajibu wa watendaji ndani ya Sekta ya Afya kuhakikisha wanaboresha huduma za afya wanazotoa kwa wananchi.

 

“Sekta ya Afya ina fedha nyingi na wadau wengi wanaofanya kazi, naomba tuelekeze fedha hizo katika kuboresha huduma za Afya ili wananchi waweze kunufaika na upatikanaji wa huduma bora za Afya”, amesisitiza Waziri Ummy.

 

 

 

#KonceptTVUpdates

Related

SUZO SHUKRANI

SUZO SHUKRANI

Related Posts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10
HABARI

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
HABARI

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM
HABARI

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA
HABARI

SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA
HABARI

TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

September 2023
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In