ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, December 4, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA

SUZO SHUKRANI by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
in HABARI
0
SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA
0
SHARES
30
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

NAIBU Waziri tamisemi , Mhe Deogratus Ndejembi kwenye ziara yake ya kukagua shule tatu za msingi zinazotekelezwa kupitia mradi wa BOOST na shule mbili za sekondari zinazotekelezwa kupitia mradi wa maboresho wa SEQUIP ametoa siku saba kwa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya kuhakikisha kuwa milango iliyowekwa kwenye ujenzi wa Shule ya Msingi Tonya inabadilishwa ili kuendana na thamani ya fedha iliyotumika kwenye ujenzi huo.

Ndejembi amesema pamoja na kuona mradi wa shule hiyo mpya umekamilika lakini hajaridhishwa na baadhi ya maeneo ikiwemo baadhi ya milango kuanza kupasuka mapema na hivyo kuagiza milango hiyo kubadilishwa haraka ndani ya siku saba.

“Nimefanya ziara kwenye shule tatu za msingi na mbili za sekondari, niwapongeze Jiji la Mbeya kwa kasi kubwa mliyonayo ya kutekeleza miradi hii iliyoletwa na Rais Samia Suluhu Hassan, haya mapungufu niliyoyaona niagize yafanyiwe kazi haraka na ndani ya siku saba yawe yamefanyika,” amesema Naibu Waziri Ndejembi.

Ameagiza kamati zinazosimamia miradi hiyo nchini kuhakikisha mafundi na wazabuni wanaleta vifaa vilivyo na ubora na ujenzi pia unatekelezwa kwa ubora ili kuendana na thamani ya fedha iliyotolewa na serikali.

“Niwaagize pia Wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wazabuni na mafundi ambao watashindwa kutekeleza miradi hii kwa ubora uliowekwa basi wachukuliwe hatua na wasiwape tenda nyingine na badala yake muwape kazi wazabuni na mafundi wenye kujali fedha hizi zinazoletwa kwa ajili ya maendeleo,” amesema Mhe Ndejembi.

#KonceptTVUpdates

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
SUZO SHUKRANI

SUZO SHUKRANI

Related Posts

World Bank Group President Ajay Banga to Visit Tanzania
HABARI

World Bank Group President Ajay Banga to Visit Tanzania

by I am Krantz
Dec 4, 2023
EACOP Yakamilisha Utaratibu Wa Fidia Kwa Kukabidhi Nyumba Ya 339 Mkoani Tanga
HABARI

EACOP Yakamilisha Utaratibu Wa Fidia Kwa Kukabidhi Nyumba Ya 339 Mkoani Tanga

by I am Krantz
Nov 29, 2023
MAWAKALA WA USAJILI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA UTENDAJI BORA WA KAZI.
HABARI

MAWAKALA WA USAJILI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA UTENDAJI BORA WA KAZI.

by I am Krantz
Nov 29, 2023
NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia
HABARI

NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia

by I am Krantz
Nov 27, 2023
Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Yazidi Kusambaza Furaha Kwa Watanzania
HABARI

Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Yazidi Kusambaza Furaha Kwa Watanzania

by I am Krantz
Nov 27, 2023
NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023 🇹🇿
HABARI

NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023 🇹🇿

by I am Krantz
Nov 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TWEETS

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
October 2023
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In