Serengeti Breweries Limited inaendelea kusambaza furaha kwa watanzania kupitia Promotion ya Serengeti Maokoto Ndani ya Kizibo. Wiki hii washindi Nane(8) wamepatikana kutoka mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Iringa, Mwanza, Bukoba na Dodoma.
ADVERTISEMENT