Mwakilishi wa kampuni ya bia ya Serengeti Karolina Mwamaso (kushoto) akimkabidhi hundi ya mfano ya Shilingi 500,000 kwa mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo, Mhina Said (kulia) katika hafla iliyofanyika Mbeya Pazuri jijini Mbeya.
Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo mkazi wa Nyegezi Christina Godfrey(kushoto) akizungumza baada yakupokea mfano wa hundi ya Sh laki tano,kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika baa ya Nyamagana Garden jijini Mwanza.
Mwakilishi wa mauzo wa kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Wilaya ya Kilosa, Shomari Mohamed (kushoto) akimkabidhi hundi ya mfano kwa mshindi wa laki tano Ally Swedy (kulia) baada ya kushinda shindano la Maokoto Ndani ya kizibo linalosimamiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia bia zake za Serengeti lite, Pilsner Lager, Guinness Smooth ,Smirnoff na Serengeti Premium Lage
Wateja wa vinywaji ya Kampuni ya Serengeti Breweries wakituma namba za ndani ya kizibo ili kushiriki promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo, kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika baa ya Nyamagana Garden jijini Mwanza.