MERIDIAN BET WAFANYA MABORESHO MAKUBWA YA DUKA LAO BUGURUNI MALAPA .
Afisa Maudhui kutoka Meridian Bet ( aliyevaa Suti ) Bwn. Twaha Ibrahim akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Duka lao...
Afisa Maudhui kutoka Meridian Bet ( aliyevaa Suti ) Bwn. Twaha Ibrahim akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Duka lao...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Bi. Vaileti Mwazembe akizungumza na walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa...
Meneja wa Tanzania commercial Bank (TCB), Tawi la Musoma Hagai Gilbert (kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa mabati 135 yaliyotolewa...
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limeandaa hafla ya tuzo za wanamichezo bora nchini ambayo imepangwa kufanyika Machi 17...
Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Mbagala Edward Mwoleka (kushoto), akikakabidhi msaada wa mifuko 100...
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99;...
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank TCB, Bi Chichi Banda (kulia), akikabidhi sehemu ya msaada...
Mkuu wa Divisheni ya Fedha wa Kampuni ya Tanga Cement PLC, Pieter de Jager (kulia), akiwa katikapicha ya pamoja na...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Sabasaba Moshingi (watatu kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Tawi la...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango akikabidhi Tuzo za 16 za Rais za wazalishaji...
Meneja wa Benki ya Biashara ya Akiba Tawi la Mbagala, Erick Kuyeko akifanya usafi pamoja na wanafunzi wa shule ya...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ihakikishe Watanzania wanaotoa ardhi yao waliyomilikishwa kihalali...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Laigwnani Metui Ole Shaudo mapendekezo ya Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro kuhusu namna...
Na Victoria Godfrey Uongozi wa Bullet Force umem tangaza Athuman Idd Chuji kuwa kocha MKuu wa Klabu ya Bullet Force...
Luteni Kanali Mstaafu Daniel Gangisa mwenye umri wa miaka 96 ambaye anaishi Chandarua Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma akiwa na...
Na Muhidin Amri, Masasi ZAIDI ya miti milioni 4.3 imepandwa na Wakala wa huduma za misitu Tanzania(TFS)kanda ya kusini kuanzia Mwezi Disemba hadi April 2022 huku miti takribani milioni 2 ikigawiwa kwa taasisi za Serikali ikiwamo shule za msingi,Sekondari na Wananchi. Hayo yamesemwa jana na Kamanda wa TFS Kanda ya Kusini Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Uhifadhi wa misitu Manyise Mpokigwa,wakati akizungumzia kuhusu kampeni ya upandaji miti inayofanywa na TFS katika mikoa ya Kusini. Mpokigwa alisema,kanda ya kusini yenye mikoa ya Lindi,Mtwara na Ruvuma ina mashamba ya miti ambako katika mkoa wa Ruvuma mashamba hayo ni Wino na Mpepo ambako wameotesha miti laini kwa ajili ya kupandwa katika mashamba yao na kugawa kwa taasisi za Serikali. Alisema, TFS inasimamia aina mbili za misitu ambayo ni miti ya kupandwa na miti ya asili ambapo katika mkoa wa Ruvuma asilimia kubwa ya miti ni ya kupandwa ikilinganishwa na mikoa ya Lindi na Mtwara ambayo miti yake ni ya asili pamoja na miti michache ya kupandwa inayostahimili sana katika ukanda wa joto kama vile mitiki. Alisema,katika bustani ya miti Ruangwa mkoani Lindi miti iliyozalishwa iligawiwa kwa Halmashauri zote zilizopo katika mkoa huo na wananchi na katika bustani ya Newala mkoani Mtwara miche iliyozalishwa kwa wingi ni ya matunda,miti ya vivuli,mitiki,mkongo na mpingo. Alisema,TFS inapanda miti kwa malengo mbalimbali kama kurejesha uoto mahali ulipopotea,kubadili mitazamo ya watu kuhusu misitu na miti na wanahimiza jamii kupanda miti ili kupata mazao ya miti toka vyanzo vyao kwa ajili ya kupunguza kutegemea misitu ya asili. Alisema,wana jukumu la kusimamia na kulinda rasilimali za misitu kwa ajili ya faida ya vizazi vya sasa na vinavyokuja,hivyo ni jukumu ya kila Mtanzania kupanda miti iwe ya mbao,matunda au kivuli kwani kufanya hivyo kutasaidia sana uwepo wa misitu ambayo faida zake ni nyingi. Alisema,kuna sababu kwa Watanzania kuendelea kupanda miti katika maeneo mbalimbali ili kukabiliana na kasi ya uharibifu wa mazingira inayoendelea kufanywa na baadhi ya watu. Alisema, katika msimu wa mwaka 2020/2021 jumla ya miche ya miti milioni 4 kati ya hiyo miche zaidi ya milioni 2 iligawiwa kwa wananchi na taasisi za Serikali na Dini kama mkakati wa TFS kupanda miti kibiashara. Alisema, tathimini ya maendeleo ya miti iliyopandwa mwaka 2020/2021 iliyofanyika hivi karibuni imebaini kuwa, miti mingi iliyogawiwa na kuoteshwa na wadau mbalimbali imeota vizuri kwa asilimia 75 na michache imeshindwa kuota kutokana na hali ya hewa. Alieleza kuwa,ile iliyopandwa kwenye taasisi kama shule ilishindwa kuendelea kutokana na janga la Covid-19 ambapo wahudumiaji ambao ni wanafunzi hawakuwepo shuleni hivyo kushindwa kuhudumiwa vizuri. Alisema,katika kazi zao wanashirikiana kwa karibu na jamii na taasisi za Serikali ambapo mwaka 2021 TFS ilitoa zaidi ya mizinga 50 ya nyuki kwa wananchi katika Tarafa za Mchinga na Mtama. Alisema, mizinga hiyo imetumika kama sehemu ya kuzuia wanyama waharibifu kama Tembo wanaovamia mashamba na kuharibu mazao na kuvuna asali kwa ajili ya kuwapatia wananchi kipato. Alisema, katika wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma wamegawa mizinga ya nyuki 100 kwa vikundi vinne vinavyojihusisha na ufugaji nyuki katika maeneo mbalimbali....
Dar es Salaam. Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (Nimr) ulioangalia uwezo na...
Kutoka Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Emmanuel Ludigija, Waziri wa Mambo ya Ndani Hamadi Masauni, Waziri Dkt. Dorothy...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ************************...
Mkurugenzi wa Biashara wa Halotel, Bw.Abdallah Salum akiongea na waandishi wa Habari katika ofisi za makao makuu ya Halotel leo...
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.