VODACOM YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA ‘SAMBAZA SHANGWE, GUSA MAISHA’ WASHINDI 26 WAIBUKA WASHINDI WA ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO MMOJA WA PESA TASLIMU SHILINGI MILIONI 10!
Kutoka kushoto Afisa Maendeleo ya Biashara wa Vodacom Tanzania, Kelvin Donald akiwa na Afisa Masoko, Nancy Emmanuel pamoja na Mkaguzi...