MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI
Mwalimu wa shule ya Msingi Bukumbi Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Claud Makalanga (23) amehukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti...
Mwalimu wa shule ya Msingi Bukumbi Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Claud Makalanga (23) amehukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti...
Katibu Mkuu wa TFF, Kidao Wilfred akimkabidhi jezi ya Timu ya Taifa Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis...
Mtandao wa Twitter kwa kuwalenga wale wote walio na blue tick kwenye wasifu wao wa Mtandao huo, muda unakwenda. Jukwaa...
Mwanamke mmoja huko nchini Kenya ameingia kwenye vichwa vya habari na kuzua gumzo mitandaoni baada ya kufichua kuwa kwa sasa...
MKUU wa Wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo amewashauri Watanzania kufuata utaratibu wa kununua ardhi ili kuepuka migogoro inayotokana na baadhi ya...
Kundi la Morgan Heritage lafunguka kuwa soon litaachia Album yao inayoenda kwa jina la “Homeland” April 21st,2023 na ambayo wamejumuisha...
Hello! Habari ya wasaa huu, karibu uweze kupitia habari kemkem zilizopewa kipaumbele katika kurasa za Magazeti ya leo Ijumaa Machi...
Nyota wa zamani wa Ujerumani, timu ya soka ya Real Madrid na Arsenal, Mesut Özil, ametangaza kustaafu soka la kulipwa....
Msemaji wa Ikulu ya Marekani Karine Jean-Pierre ameonya Wabunge wa Bunge la Uganda kwamba vikwazo vitakavyowazuia kufanya biashara na Marekani...
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Geita, Japherson Nnko amesema, wanatarajia kuuboresha zaidi uwanja wa ndege wa...
Mkulima na mkazi wa Kijiji cha Naibili wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro, Emmanuel Kilenga ( 22) amefikishwa katika mahakama ya Wilaya...
Kampuni ya MobiAd leo imeingia makubaliano rasmi na Uongozi wa klabu ya Simba kuwa Mdhamini mkuu wa Timu ya Simba...
Beki wa Kikosi cha Yanga, Ibrahim Bacca ametolea ufafanuzi kuwa hakuamini kuwekwa katika kikosi kitachoanza dhidi ya US Monastir kutokana...
Hello! Habari ya wasaa huu, karibu uweze kupitia habari kemkem zilizopewa kipaumbele katika kurasa za Magazeti ya leo Alhamisi Machi...
Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema alikataa kutumia mwavuli wakati wa mvua katika hafla ya Kitaifa ya kusimamia gwaride la kuhitimu...
Magoli matatu aliyofunga katika ushindi wa 7-0 ambao Simba SC iliupata mwishoni mwa wiki dhidi ya Horoya yamemuwezesha fundi huyo...
NAIBU Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, amemtaka mkandarasi anayejenga miundombinu ya umwagiliaji katika shamba la Wakala wa Mbegu za Kilimo...
MWIGIZAJI Chuchu Hans kwa mara nyingine amezindua tamthilia ya Jeraha itakayorushwa kupitia chaneli ya sinema zetu. Akizungumza na waandishi wa...
Tigo Pesa kwa kushirikiana na Mastercard na Selcom wazindua rasmi kadi mtandao ili kuwezesha malipo/manunuzi mtandaoni. "Huduma hii ni muendelezo...
Wachezaji wanne wa Simba SC wamefanikiwa kuingia katika kikosi bora cha wiki cha Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2023/2024....
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.