Kiongozi wa Upinzani Urusi Akamatwa
Kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny, amekamatwa na vyombo vya dola nchini humo muda mfupi baada ya kurejea kutoka...
Kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny, amekamatwa na vyombo vya dola nchini humo muda mfupi baada ya kurejea kutoka...
Nyota wa Barcelona Lionel Messi alioneshwa kadi nyekundu kwa mara ya kwanza tangu aanze kuitumikia miamba hiyo ya Laliga. Kadi...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Dorothy Gwajima, ameagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na maadili...
Wakazi zaidi ya 3000 katika kijiji cha Wami Sokoine Mvomero mkoani Morogoro wamelalamikia kuanza kupata madhara ya kiafya ikiwemo magonjwa...
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amempongeza rais mteule wa Uganda Mhe.Yoweri Kaguta Museveni Kwa kutangazwa...
Na WAMJW- Dom. Mtu yoyote haruhusiwi kuanzisha huduma za Maabara bila kupata kibali. Ni kauli ya Msajili wa Bodi ya...
Yoweri Museveni ametangazwa kuwa Rais mteule wa Uganda Kwa mara nyingne tena baada ya kupata ushindi wa kura 5,851,037 sawa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt.John Pombe Magufuli amekutana na Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza...
Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amekemea vikali tabia ya watumishi wa sekta ya Afya kudanganya na badala yake amewataka...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amewataka wataalam wa Teknolojia ya Habari...
Makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe...
Mvua zinazoendele Mtwara zimesababisha watu kukosa makazi ikiwa ni nyumba 177 zikisombwa na maji huku nyumba 315 zikijaa maji kutokana...
Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ACT Wazalendo Abdul Nondo, amesema kuwa ACT imejipanga katika kutetea wanufaika wa mkopo unaotolewa na...
Wananchi Nchini Uganda wanatarajiwa kupiga kura kuchagua Rais na Wabunge leo Januari 14, 2020. Miongoni mwa Wagombea wa Urais ni...
Kocha mkuu wa Barcelona Ronald Koeman hana uhakika kuwa nyota wao Lionel Messi atakuwepo kwenye fainali ya Jumapili ya Supercopa...
Rais wa Marekani Donald Trump huenda akawa Rais wa kwanza kuondolewa madarakani siku chache kabla ya muda wake kumalizika baada...
Nyota wa Manchester United Paul Pogba alisema Mashetani Wekundu wako tayari kwa pambano lao dhidi ya Liverpool baada ya kuwa...
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ametangaza siku tatu za maombolezo Nchini humo kufuatia vifo vya Mawaziri wawili waliofariki jana January...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imelazimika kupunguza baadhi ya shamra...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amempa siku saba Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, (IGP) Simon...
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.