DC Wakili Evord Mmanda kuzikwa na watu wasiozidi 10
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa amesema mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yatahudhuriwa na...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa amesema mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yatahudhuriwa na...
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amekanusha ripoti inayosema wanasayansi kutoka Uingereza wanafikiria kufanya majaribio ya chanjo ya COVID-19 nchini Kenya....
Na Mwandishi maalum – Dar es Salaam Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) itawahudumia wagonjwa wenye matatizo ya moyo yanayohitaji...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wenye viwanda vya sukari nchini kurejea mikataba ya uzalishaji walioafikiana na...
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advocate Evord Herman Mmanda, afariki Dunia alfajiri ya leo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi Joseph Nyamhanga ameutaka uongozi wa Wilaya ya Maswa kumsimamia Mkandarasi SUMA JKT anayejenga...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine tatu za kusafisha damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo zenye thamani ya...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ametoa rai kwa Taasisi ya Uhandisi na Usanifu wa Mitambo Tanzania (TEMDO)...
Watu 17 ikiwa ni pamoja na askari 12 kutoka Hifadhi ya Kitaifa ya Virunga, waliuawa na kundi la watu wasiojulikana...
Rais Dkt John Magufuli ametoa msamaha kwa jumla ya wafungwa 3,973 ambapo kati yake wafungwa 3,717 wamesamehewa vifungo vyao na...
Vikosi vya Somalia na vya Umoja wa Afrika hapo jana (Ijumaa) viliharibu magari mawili ambayo yalikuwa na vilipuzi ya al-Shabab...
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linafanya msako mkali kumtafuta HAKIMU JAMES MWAKIFUNA miaka Mnyakusa wa Kiwira kwa kosa la...
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhandisi. Joseph Nyamuhanga amesema Serikali katika Bajeti ya mwaka 2020/2021 Serikali imetenga kiasi...
Wizara ya Kilimo imekubaliana na Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine kuanza kuzalisha mbegu bora za mazao ya kilimo ili kujitosheleza...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jafo ameonesha kuridhishwa na kasi...
24/04/2020 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) itawahudumia wagonjwa wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amepokea msaada wa fedha kiasi cha sh milioni...
Utafiti umebaini kuongezeka kwa matumizi ya bangi, pombe na dawa nyingine za kulevya kutokana na mfadhaiko unaosababishwa na amri za...
Mkuu wa mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera amezitangazia Vita ikiwemo kuzichukulia hatua taasisi zinazotoa mikopo zilizopo katika mkoa huo...
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa hotuba kwa njia ya televisheni akisema kuanzia Mei Mosi Afrika Kusini itapunguza hatua...
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.