Ameandika Ahmed Ally, Meneja wa idara ya Habari na mawasiliano wa klabu ya Simba : "Siku moja Afrika nzima itakaa...
Kabla sijaanza na madhara nianze na kuelezea kazi ya mate kinywani. Mate ni mchanganyiko wa maji, uteute na kimeng'enya kinachofahamika...
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imetangaza kumsimamisha Mwenyekiti wa chama hiko, James Mbatia pamoja na Makamu Mwenyekiti Bara, Angelina...
Ameandika : Moud Mtanzania, shabiki wa klabu ya Simba SC Kama Kuna mchezaji anaependwa Simba kwa sasa na...
Ameandika Omarr Kombo : Ukitaka kujua utukufu wa Mwenyezi Mungu usitazame chini nyanyua kichwa chako juu utazame anga,nyota, mwezi...
Urusi imesitisha usambazaji wake wa gesi asilia kwa Finland, kampuni ya nishati inayomilikiwa na serikali ya Finland ya Gasum imesema....
Idadi ya visa vya maambukizo ya homa ya nyani imepanda nchini Uingereza baada ya taifa hilo kuthibitisha kuwa watu wengine...
Mwekezaji na Rais wa heshima wa klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji) ametunukiwa Udaktari wa heshima wa...
1.Nakupenda Nakupenda ni kitu rahisi na cha wazi cha kumwambia mpenzi wako. Hakikisha tu kuwa unamaanisha. Jaribu...
Ukiwa mtu wa kuangalia mambo kwa juu juu basi kila kitu kwako kitakuwa kigumu. Kusoma unaweza kuona ni kugumu,...
Shabiki wa klabu ya Nottingham Forest Robert Biggs (30) amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kumshambulia kwa kumpiga...
Wakala wa Robert Lewandowski, Pini Zahavi ameripotiwa kununua jezi 10 za klabu ya Barcelona zilizochapishwa jina la mshambuliaji huyo...
Mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 16 ambaye yuko kwenye mpango wa kutaka kuwa mtu mdogo kuliko wote...
Waziri wa Maliasili na Utalii balozi, Dkt. Pindi Chana ameridhishwa na kazi nzuri zinazofanywa na chuo hicho cha utalii...
Binti mmoja anayefahamika kwa jina la Happiness Mdoshi (15) mwanafunzi wa kidato Cha pili katika Shule ya sekondari Nyanza...
Mahakama ya Wilaya ya Ludewa imemhukumu kutumikia kifungo cha mika 30 jela Dalali Minze Sengerema (36) mkazi wa kijiji...
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania TACAIDS Dkt.Leornad Maboko amesema ili Taifa lifanikiwe kidhibiti maambukizi mapya...
Mwanafunzi anayejiunga na kidato cha kwanza katika shule ya upili ya Kangaru kaunti ya Embu nchini Kenya aliwasili shuleni...
Raia mmoja wa Ethiopia na baba wa watoto 11 amekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini humo baada ya...
Follow Us
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.