Tetesi za Soka Ulaya Leo Ijumaa: Maguire,Sane, Cancelo, Dybala, Fernandes, Otamendi
Manchester City wamekataa dau la pauni milioni 72 kutoka kwa Bayern Munich kwa ajili ya mshambuliaji wa Leroy Sane raia ...
Read moreManchester City wamekataa dau la pauni milioni 72 kutoka kwa Bayern Munich kwa ajili ya mshambuliaji wa Leroy Sane raia ...
Read moreManchester United huenda ikalazimika kulipa Leicester City £80m kumnunua mlinzi wake Harry Maguire baada ya Eric Bailly kuumia goti katika ...
Read moreParis St-Germain wameishinda Juventus katika kinyang'anyiro cha kumsaini mlinzi wa Tottenham Danny Rose, 29, na wanaamini watafikia mkataba wa pauni ...
Read moreKlabu ya ligi ya Uchina Beijing Guoan wamepania kumsajili winga wa Real Madrid Gareth Bale. Klabu hiyo, ina mpango wa ...
Read moreBarcelona inataka kumsajili tena Neymar kutoka PSG, (Sport, via Express)Kiungo wa Fulham Jean Michael Seri anajiandaa kujiunga na Galatasaray ya ...
Read moreLeicester imemwambia mlinzi wake wa kati Harry Maguire, 26, kuwa anaweza kuondoka (Telegraph) Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar, 27, amerejelea ...
Read moreArsenal inataka kumsaini winga wa Barcelona Malcom, 22, huku Everton ikiwa tayari imewasilisha ofa ya dau la £31.5m kumsaini raia ...
Read moreMchezaji Bruno Fernandes ameanza mchakato wa kuhamia Old Trafford. Nyota huyo wa miaka 24 anayecheza safu ya kati ya Sporting ...
Read moreManchester United imejiondoa katika harakati ya kutaka kumsaini beki wa Leicester na Uingereza Harry Maguire baada ya kuambiwa kwamba mchezaji ...
Read moreMchezaji wa Leicester City na Uingereza Harry Maguire, 26, anatarajiwa kuwa beki ghali zaidi duniani wiki hii wakati atakapojiunga na ...
Read moreJuhudi za kocha Ole Gunnar Solskjaer kuimarisha kikosi chake huenda zikagonga mwamba kwa sababu Manchester United ni klabu ambayo hutoa ...
Read moreMshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar amekuwa akitafuta nyumba mjini Barcelona, hali inayochagiza fununu kuwa kuwa nyota huyo wa Kimataifa wa ...
Read moreMeneja wa Manchester City Pep Guardiola anaangalia uwezekano wa kuchukua mapumziko ya muda katika soka mwishoni mwa msimu ujao ikiwa ...
Read moreAll rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.